Tactical Tech inawasilisha

What the Future Wants

(Kile Ambacho Siku za Usoni Kinataka) Maonyesho haya, yaliyoundwa kwa kushirikiana na vijana, yanachunguza athari za teknolojia kwa jamii.


banner for youth saying What the Future Wants

"What the Future Wants" ni maonyesho ya vijana yanayolenga teknolojia na yanayowasilisha mitazamo tofauti kuhusu teknolojia kutoka kwa mtazamo wa kibinafsi, kisiasa, na kwa mtazamo wa sayari. \ \ Teknolojia ina athari gani katika umakini wetu, data zetu, haki zetu, jamii zetu, na mazingira yetu ya kuishi? Maonyesho haya ya kuingiliana ni fursa kwa vijana kusimama kidogo na kufikiri juu ya maana ya kukua katika ulimwengu wa kidigitali, kuuliza maswali ya msingi juu ya teknolojia, kutambua wanachotaka kulinda na wanachotaka kubadilisha katika mustakabali wao wa kidigitali."

Imeandaliwa pamoja na vijana 200 wenye umri wa miaka 13 hadi 18, What the Future Wants inachunguza maswali muhimu katika uzoefu wa kidijiti wa vijana - ni kama nini kukua katika ulimwengu wa kidijiti? Inawezaje kuathiri wewe? Na katika mustakabali wako wa kidijiti, ungependa kubadilisha nini na unataka kulinda nini?

Maonyesho haya yameidhinishwa chini ya Creative Commons CC BY-NC-ND 4.0.

Endelea kwenye maonyesho